Huu hapa msimamo wa NBC Premier League
Huu hapa msimamo wa NBC Premier League ambapo vinara ni JKT Tanzania wanafuatiwa na Yanga SC nafasi ya pili. KMC FC inaburuza mkia mara baadayakupoteza mchezo uliopita vs Azam FC.
Huu hapa msimamo wa NBC Premier League ambapo vinara ni JKT Tanzania wanafuatiwa na Yanga SC nafasi ya pili. KMC FC inaburuza mkia mara baadayakupoteza mchezo uliopita vs Azam FC.
Tanzania Prisons 0-2 Simba SC ni matokeo yaliyopita kwa mnyama. Kwenye mechi 5 za hivi karibuni, Simba SC imepata ushindi mechi 3 na sare mechi 2. Tanzania Prisons haijawa kwenye ubora na katika mechi 5, ushindi moja, sare moja na kupoteza mechi 3. Watupiaji ni Seleman Mwalimu dakika ya 19 na Rushine de Reuck dakika…
Kiungo mshambuliaji wa Sport Lisboa e Benfica, Gianluca Prestianni (20), amepewa adhabu ya kusimamishwa kwa muda mechi moja na UEFA kufuatia tuhuma za kutoa kauli ya kibaguzi dhidi ya Vinícius Júnior wa Real Madrid CF. Tukio hilo lilitokea katika mchezo wa mkondo wa kwanza wa play-off ya UEFA Champions League uliochezwa Lisbon wiki iliyopita. Vinícius…
Arsenal, Paris Saint-Germain na Barcelona zote zinaonyesha nia kubwa ya kumsajili Julián Álvarez kutoka Atlético Madrid. Kwa mujibu wa Gazeti la Michezo la Hispania, DiarioAS Arsenal tayari waliwasilisha ofa ya thamani ya euro milioni 120, lakini Atlético waliikataa wakionyesha kuwa hawapo tayari kumuachia kirahisi mshambuliaji huyo. Sasa inasubiriwa kuona kama kutakuwa na ofa mpya au…
Je unajua kuwa Meridianbet ndio wakali wa Odds Tanzania?. Yaani namaanisha kuwa ukitaka Odds kubwa na za kibabe wewe njoo hapa na ubashiri leo. Lakini pia unaweza ukaibuka bingwa kwani machaguo ni mengi hapa. Moto utawaka katika dimba la BayArena, Bayer Leverkusen atakuwa mwenyeji wa Olympiacos kutoka kule Ugeriki ambao leo hii hawapewi nafasi kubwa…
Maandalizi ya kumpokea Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba leo Februari 24, 2026 katika uwanja wa mpira wa miguu Arusha ambao ni miongoni mwa viwanja vitakavyotumika katika mashindano ya Soka Barani Afrika (AFCON) 2027
Wakati wengine wakiwa wamehitimisha Halloween, ndani ya Meridianbet sherehe bado inaendelea kwa kasi na mvuto wa kipekee kupitia Gates of Halloween. Huu si mchezo wa kawaida wa kasino mtandaoni, bali ni jukwaa la burudani linalokuweka katikati ya hadithi ya kusisimua, ambapo kila mzunguko hubeba ahadi ya tukio jipya. Ni uzoefu unaochochea hamasa na kugeuza muda…