Leo ni siku ya mapambano makubwa kwenye ligi top barani Ulaya — LaLiga, Serie A, EPL na Bundesliga zote moto 🔥
🇪🇸 LaLiga
🔹 Real Sociedad 🆚 Real Oviedo – Tofauti pointi 15, wenyeji wanataka kuendelea kukaza juu ya msimamo.
🔹 Real Madrid 🆚 Osasuna – Madrid wanaongoza kwa tofauti ya pointi 30! Je, wataendeleza ubabe ugenini?
🔹 Atletico Madrid 🆚 Espanyol – Vita ya kuingia Top 4, presha kubwa kwa Simeone na vijana wake!
🇮🇹 Serie A
🔸 Juventus 🆚 Como 1907 – Tofauti pointi 5 tu! Como waliwahi kushinda mechi iliyopita, leo Bibi Kizee watalipiza?
🔸 Inter Milan 🆚 Lecce – Vinara wa ligi wanahitaji pointi 3 muhimu kusalia kileleni.
🔸 Cagliari 🆚 Lazio – Kila timu inapigania nafasi bora, nani atatoka na ushindi?
🏴 EPL
🔹 Brentford 🆚 Brighton – Kisasi kinatafutwa baada ya matokeo ya mwisho!
🔹 Chelsea 🆚 Burnley – The Blues wanataka kujiimarisha dhidi ya waliopo mkiani.
🔹 Manchester City 🆚 Newcastle – Mbio za ubingwa zinaendelea, City hawawezi kukubali kupoteza leo!
🇩🇪 Bundesliga
🔸 Bayern Munich 🆚 Eintracht Frankfurt – Bingwa mtetezi anawakaribisha Frankfurt, je mgeni atalipa kisasi?
🔸 Bayer Leverkusen 🆚 Union Berlin – Mapambano ya nafasi za juu!
🔸 RB Leipzig 🆚 Borussia Dortmund – Tofauti pointi 11, lakini mara ya mwisho hakuna aliyekuwa mbabe!
🔥 Leo ni siku ya maamuzi!
Wewe unaona nani anaondoka na pointi 3?
#Football #MatchDay #LaLiga #SerieA #EPL #Bundesliga #GameOn