Dkt. Mwigulu Azindua Shule Mpya Ya Sekondari Ya Mbatakero
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba ameweka jiwe la msingi la uzinduzi wa shule ya Sekondari ya Mbatakero iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro ambayo imejengwa kupitia mradi wa SEQUIP Ujenzi wa Shule hiyo ambao umegharimu shilingi milioni 584 itasaidia kuondoa adha wanayopata wanafunzi wa eneo hilo ya kutembea umbali mrefu wa kwenda shule…