Serikali Yaidhinisha Rasmi Marekebisho ya Katiba ya Simba
Serikali kupitia Baraza la Michezo la Taifa (BMT) imeidhinisha rasmi marekebisho ya Katiba ya Simba Sports Club baada ya kukamilika kwa mchakato wa kisheria uliokuwa unasimamiwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Michezo. Hatua hiyo inafuatia maelekezo yaliyotolewa Februari 16, 2026 na Paul Makonda, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, ambaye alimwagiza Msajili…