Skip to content
Sunday, June 14, 2026
  • Brazil na Morocco Kukutana Katika Mchezo wa Kusisimua wa Kundi C
  • Marekani Yafungua Kombe la Dunia Nyumbani Kwa Kishindo, Yaichapa Paraguay 4-1
  • Meridianbet Yatoa TZS Milioni 100 Kwa Mashabiki wa Kombe la Dunia
  • Canada Yaanza Kombe la Dunia kwa Sare ya Kusisimua dhidi ya Bosnia

Saleh Jembe

Official Website

Random News
  • Home
  • FeaturedFeatured posts
  • Sports
  • Brazil na Morocco Kukutana Katika Mchezo wa Kusisimua wa Kundi C
  • Marekani Yafungua Kombe la Dunia Nyumbani Kwa Kishindo, Yaichapa Paraguay 4-1
  • Meridianbet Yatoa TZS Milioni 100 Kwa Mashabiki wa Kombe la Dunia
  • Canada Yaanza Kombe la Dunia kwa Sare ya Kusisimua dhidi ya Bosnia

Saleh Jembe

Official Website

Random News
  • Home
  • FeaturedFeatured posts
  • Sports
  • Home
  • 2026
  • February
  • 15

February 15, 2026

  • International
  • Sports

Yanga Yalenga Daraja la Tatu na La Nne la Uwanja wa CAF

Saleh4 months ago02 mins

Yanga SC imetangaza rasmi kuanza mchakato wa kujenga uwanja wake wa kisasa baada ya kumaliza mchakato wa zabuni na kuchagua mwekezaji. Kampuni iliyoshinda zabuni ni GSM, chini ya Rais wake Ghalib Said Mohamed, huku klabu ikionyesha msukumo mkubwa wa kuhakikisha mradi unakidhi viwango vya kitaifa na kimataifa. Hersi Ally Said, Rais wa Yanga SC, amesema:…

Read More
  • International
  • Sports

Hatua ya Makundi CAFCL Kuhitimishwa Leo, Yanga Kwenye Mtihani Mgumu

Saleh4 months ago01 mins

LIGI ya Mabingwa Afrika CAFCL inaendelea tena leo Februari 15, 2026 kwa mechi mbili za kuhitimisha hatua ya makundi huku wawakilishi wa Tanzania waliosalia kwenye michuano hiyo, Young Africans Sc wakitupa karata yao ya mwisho ya kuwania kufuzu robo fainali. Wananchi (pointi 5) wapo nyumbani, New Amaan Complex Zanzibar kuchuana na washika mkia wa kundi…

Read More
  • Sports

Leo Uwanjani Ulaya: Mechi Tatu za Moto za Serie A na LaLiga

Saleh4 months ago4 months ago02 mins

Pesa iko nje nje leo hii kwenye mechi za Europa ndani ya Meridianbet kwani kila kitu unachotaka kipo hapa kuanzia Odds kubwa, machaguo zaidi ya 1000. Jisajili sasa na uanze safari yako ya ushindi. ITALIA SERIE A kitawaka vilivyo, mapema kabisa Udinese atamenyana dhidi ya Sassuolo ambapo mara ya mwisho kukutana kati yao mgeni aliondoka…

Read More
  • Featured

Mapinduzi Ya Kasino Mtandaoni Yanadhaminiwa Na Ruby Play Meridianbet

Saleh4 months ago4 months ago02 mins

Meridianbet imeendelea kuthibitisha dhamira yake ya kuboresha uzoefu wa wateja kwa kutangaza ushirikiano rasmi na Ruby Play, kampuni inayokua kwa kasi katika soko la sloti za mtandaoni. Hatua hii inaleta sura mpya ya burudani ya kasino, ikichanganya teknolojia ya kisasa na ubunifu wa hali ya juu. Ruby Play inajivunia ubora wa michoro, mandhari za kuvutia…

Read More
Newsmatic - News WordPress Theme 2026. Powered By BlazeThemes.