Kibu Dennis Aondoka Msimbazi, Kuungana na Ngoma na Mukwala Libya

Klabu ya Simba SC imethibitisha kwamba mshambuliaji wake, Kibu Dennis, hatakuwa sehemu ya kikosi cha timu hiyo, akihitimisha utumishi wake wa misimu minne na nusu akiwa na Wekundu wa Msimbazi. Kibu ‘Mkandaji’, ambaye alijiunga na Simba SC miaka kadhaa iliyopita, anaripotiwa kujiunga na klabu ya Al Nasr Benghazi nchini Libya, na kutambulishwa hivi karibuni kama…

Read More

Yanga SC vs JS Kabylie, Jumapili ya kazi

Yanga SC vs JS Kabylie, Jumapili ya kazi kwa wawakilishi wa Tanzania kutupa karata ya mwisho katika anga la kimataifa. Mchezo huo ni muhimu kwa Yanga SC kupambania malengo yakutinga hatua ya robo fainali wakiwa nafasi ya tatu na pointi 5 huku wanaowania nafasi hiyo wengine ni AS Far Rabat hawa wapo nafasi ya pili…

Read More

KMC FC vs Simba SC leo Kibu kuagwa

KMC vs Simba SC ni mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa KMC, Complex saa 1:00 usiku. Katika mchezo wa leo kiungo mshambuliaji wa Simba SC, Kibu Dennis anatarajiwa kuangwa rasmi mara baada ya kuuzwa. Kibu msimu wa 2025/26 atakuwa nchini Libya kwa changamoto mpya mara baada ya kufikia makubaliano na pande…

Read More

Jumatano Ya Meridianbet Kujazwa Ladha ya Ushindi Na Zawadi Kibao

Nani alisema katikati ya wiki hakuna burudani? Meridianbet wameamua kuivunja dhana hiyo kwa kuja na kampeni ya kusisimua ya Jumatano ya Zawadi, inayogeuza kila Jumatano kuwa siku ya matumaini na bahati. Kuanzia Jumatano hadi Jumanne, kila mchezaji anayekata tiketi yenye mechi tatu au zaidi anajikuta tayari yupo kwenye mbio za kushinda zawadi. Kinachoifanya Jumatano iwe…

Read More