Mtangazaji wa Global TV Ang’ara Kwenye Tuzo za Wildaf – (Picha +Video)
Mwandishi mkongwe wa habari na mtangazaji wa Global TV, Imelda Mtema (@imeldamtema), ameendelea kuthibitisha ubora wake katika tasnia ya habari baada ya kung’ara katika hafla ya utoaji wa Tuzo za Wildaf, zilizolenga kuwatambua vinara wa mapambano dhidi ya ukatili wa kijinsia. Imelda alikuwa mmoja wa waongozaji wakuu wa tukio hilo muhimu, akionesha umahiri wake wa…