Azam FC vs AS Maniema, Jumamosi New Amaan Complex
Azam FC vs AS Maniema, Jumamosi New Amaan Complex ni mchezo ujao kwa wawakilishi wa Tanzania katika anga la kimataifa. Ni mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika hatua ya makundi kwenye msako wa kutinga hatua ya robo fainali. Ikumbukwe kwamba mchezo wa kwanza Azam FC ilipoteza dhidi ya AS Maniema hivyo itaingia uwanjani ikiwa na…