Skip to content
Sunday, November 8, 2026
  • Baba wa Neymar Ateuliwa Kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Santos Fc
  • Watoto Waokota Mipira Na Mashabiki Waiingiza Simba, Yanga Matatani
  • Nottingham Forest Kuikaribisha Manchester City Leo EPL leo
  • Orodha ya wafungaji NBC Premier League 2026/27

Saleh Jembe

Official Website

Random News
  • Home
  • FeaturedFeatured posts
  • Sports
  • Baba wa Neymar Ateuliwa Kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Santos Fc
  • Watoto Waokota Mipira Na Mashabiki Waiingiza Simba, Yanga Matatani
  • Nottingham Forest Kuikaribisha Manchester City Leo EPL leo
  • Orodha ya wafungaji NBC Premier League 2026/27

Saleh Jembe

Official Website

Random News
  • Home
  • FeaturedFeatured posts
  • Sports
  • Home
  • 2026
  • January
  • 23

January 23, 2026

  • International

Al Ahly 2-0 Yanga SC CAF Champions League

Saleh10 months ago10 months ago01 mins

Januari 23,2026 Al Ahly 2-0 Yanga SC CAF Champions League pointi tatu zimebaki kwa wenyeji ambao wanaongoza kundi B kwa sasa. Mchezo huo umechezwa Uwanja wa Borg El Arab huku nyota wa Al Ahly Mahmoud Trezeguet akifunga magoli yote mawili. Alianza dakika ya 45+3 zikiwa zimesalia sekunde kadhaa kaba ya timu kwenda mapumziko alipofunga goli…

Read More
  • International

Espérance Sportive de Tunis vs Simba SC CAF

Saleh10 months ago01 mins

Espérance Sportive de Tunis vs Simba SC CAF mchezo ujao kwenye ratiba kwa Simba SC inayofundishwa na Kocha Mkuu, Steve Barker. Huu utakuwa ni mchezo wa kwanza kwa mrithi wa mikoba ya Dimitar Pantev kwenye anga la kimataifa msimu wa 2025/26. Mchezo wa kwanza ilikuwa kwenye Ligi Kuu Bara ya NBC ambayo ni namba 6…

Read More
  • Sports

Bashiri Leo Upate Samsung A26 na Meridianbet

Saleh10 months ago10 months ago02 mins

Una nafasi ya kumiliki simu ya ndoto zako na Meridianbet ambapo kwa kubashiri mechi za mpira wa miguu ni rahisi sana kuchukua Samsung A26 yako. Unangoja nini kubashiri sasa? Katika msimu huu wa burudani na ushindani mkali ndani ya ulimwengu wa soka, Meridianbet imewasha moto mpya unaowapa wachezaji wote sababu ya kuongeza hamasa wanapotazama na…

Read More
  • Sports

Meridianbet Yageuza Ushindi Kuwa Sehemu ya Ratiba Yako Ukicheza Super Heli

Saleh10 months ago10 months ago02 mins

  Meridianbet imechukua promosheni za michezo na kuzileta karibu zaidi na maisha ya mchezaji wa kawaida kupitia Super Heli. Hii si promosheni ya msisimko wa ghafla, bali ni mpango unaokaa kwenye ratiba yako ya kila siku. Kila unapocheza, unajenga safari yako taratibu, ukiunganisha burudani na fursa ya ushindi wa kweli. Promosheni ya Super Heli imepangwa…

Read More
Newsmatic - News WordPress Theme 2026. Powered By BlazeThemes.