Man Utd wameingia Top 6 📈
Aston Villa wana nafasi ya kwenda nafasi ya 2 kesho baada ya Man City kupoteza dhidi ya Man Utd 👀
Klabu ya Manchester Utd imeibuka na ushindi mnono wa bao 2-0 dhidi ya Manchester City katika mchezo wa derby ya jiji la Manchester katika mchezo uliyochezwa katika uwanja wa Old Trafford.
Katika mchezo huo magoli pekee ya mchezo yalifungwa na Mbeumo pamoja na Winga raia wa Denmark Patrick Dorgu na kufanya mchezo kutamatika kwa bao 2-0.