Skip to content
Tuesday, September 22, 2026
  • Yanga yaomboleza mwanachama na kiongozi wake Mama Fatma Karume
  • Mama Fatma Karume Afariki Dunia
  • Kagera Sugar FC Yaachana na Benchi la Ufundi na Baadhi ya Maafisa
  • Luis de la Fuente aongeza mkataba mpya wa kuifundisha Hispania hadi 2032

Saleh Jembe

Official Website

Random News
  • Home
  • FeaturedFeatured posts
  • Sports
  • Yanga yaomboleza mwanachama na kiongozi wake Mama Fatma Karume
  • Mama Fatma Karume Afariki Dunia
  • Kagera Sugar FC Yaachana na Benchi la Ufundi na Baadhi ya Maafisa
  • Luis de la Fuente aongeza mkataba mpya wa kuifundisha Hispania hadi 2032

Saleh Jembe

Official Website

Random News
  • Home
  • FeaturedFeatured posts
  • Sports
  • Home
  • 2026
  • January
  • 11

January 11, 2026

  • Entertainment
  • Sports

Viongozi Wahudhuria Harusi ya Binti wa Mdhamini wa Yanga

Saleh8 months ago01 mins

Uongozi wa Young Africans Sports Club (Yanga SC) unampongeza Mdhamini na Mfadhili wa Klabu hiyo, GSM, kwa kumuozesha binti yake, Fatma Ghalib Said Mohammed, katika hafla ya ndoa iliyofanyika jana, Januari 10, 2026, katika Ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es Salaam. Hafla hiyo ya ndoa ilihudhuriwa na viongozi mbalimbali wa kitaifa akiwemo Rais wa…

Read More
  • International
  • Sports

Ivory Coast Watolewa AFCON 2025, Misri Watinga Nusu Fainali

Saleh8 months ago01 mins

Mabingwa watetezi wa Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2025), Ivory Coast ‘The Elephants’, wameaga rasmi michuano hiyo baada ya kupokea kipigo cha mabao 3-2 kutoka kwa Misri ‘Mafarao’ katika mchezo wa robo fainali uliopigwa kwenye Uwanja wa Adrar. Misri walionyesha dhamira kubwa ya kutwaa taji hilo kwa mara nyingine, wakipata mabao yao kupitia Omar…

Read More
  • International
  • Sports

Rais Samia Apokea Jezi ya Taifa Stars, Aahidi Kuimarisha Maslahi ya Wachezaji

Saleh8 months ago02 mins

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amepokea zawadi ya jezi ya Timu ya Taifa ya mpira wa miguu ya wanaume Taifa Stars iliyosainiwa na wachezaji, ikiwa ni ishara ya shukrani na heshima kwa uongozi na mchango wake katika kuimarisha michezo nchini. Jezi hiyo imekabidhiwa na Nahodha Msaidizi wa Taifa…

Read More
  • Sports

Soka La Ulaya Leo: Serie A, FA Cup na Bundesliga Kitawaka! Mshiko Upo Meridianbet

Saleh8 months ago8 months ago03 mins

Siku ya leo mechi kibao za pesa zinaendelea  ndani ya Meridianbet huku wakali wa ubashiri Meridianbet wanakwambia hivi mtafutaji hachoki, yaani ni mwendo wa kusaka ODDS KUBWA tuu na kubashiri. Ingia kwenye akaunti yako sasa na ubashiri leo. SERIE A kuendelea kama kawaida ambapo ACF Fiorentina atakuwa nyumbani kukiwasha dhidi ya AC Milan ambao msimu…

Read More
Newsmatic - News WordPress Theme 2026. Powered By BlazeThemes.