Azam FC Yaifunga Simba, Yatinga Fainali ya Kombe la Mapinduzi 2026
Azam FC wamefanikiwa kutinga hatua ya fainali ya Kombe la NMB Mapinduzi 2026 baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Wekundu wa Msimbazi, Simba SC. Mchezo huo wa robo fainali umechezwa katika dimba la New Amaan Complex, Zanzibar, ambapo bao pekee la ushindi lilifungwa na Lawi dakika ya 73 ya mchezo, bao…