Misri 3-1 Benini, AFCON 2025

Timu ya taifa ya Misri imetinga hatua ya robo fainali kwa ushindi dhidi ya Benin kwenye mchezo wa hatua ya 16 bora uliochezwa leo Januari 5 2026. Mchezo huo umekwenda mpaka dakika ya 120 baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja Adrar,Agadir kusoma Misri 1-1 Benin. Katika dakika 30 Misri ilifunga magoli mawili. Misri walianza…

Read More

Waziri Mkuu Mwigulu – “Taifa Stars Hawakutolewa Wameondolewa – Sisi Ni People Morocco Tutakutana”…

Waziri Mkuu wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba, ametoa agizo kwa wizara za michezo na mashirikisho ya soka nchini (TFF na ZFA) kuangalia upya kanuni za mashindano ili kuwapa nafasi zaidi wachezaji wazawa, ikiwa ni mkakati wa kuandaa kikosi imara kuelekea mashindano ya AFCON 2027 ambapo Tanzania itakuwa mwenyeji. Akizungumza leo Januari 5, 2026, visiwani Unguja,…

Read More

Singida Black Stars Yafanya Mabadiliko Makuu: Ouma Kocha Mkuu, Najjar Meneja Mkuu

Klabu ya Singida Black Stars imethibitisha kumteua kocha David Ouma kuwa kocha mkuu mpya klabuni hapo akichukua nafasi ya Miguel Angel Gamondi ambaye imembadilishia majukumu na kumteua kuwa Mkurugenzi wa Ufundi wa klabu. Taarifa ya leo Januari 05, 2025 iliyotolewa na klabu hiyo imeeleza kuwa Ouma ambaye awali alikuwa kocha msaidizi atashirikiana na Makocha Wasaidizi…

Read More

Anza Mwaka Mpya Na Ushindi Usio Kawaida Kupitia Holiday Drops Ya Meridianbet

Mwaka mpya umeanza, na Meridianbet inakusaidia kuuanza kwa mtindo wa kipekee. Holiday Drops ni fursa ya kipekee ya kushinda zawadi ambazo hujitokezi ghafla, zikikuletea msisimko wa kasino mtandaoni bila kikomo. Mchezo huu ni safari ya burudani ambapo kila mzunguko unaweza kuwa mwanzo wa ushindi mkubwa. Kila sekunde ndani ya Holiday Drops ni fursa ya mshangao….

Read More