Ratiba ya 16 bora AFCON 2025

16 bora AFCON 2025 nchini Morocco ratiba hii hapa Jumamosi, Januri 3,2026 Senegal vs Sudan saa 1:00 usiku Mali vs Tunisia saa 4:00 usiku Jumapili, Januari 4,2026 Morocco vs Tanzania saa 1:00 usiku Afrika Kusini vs Cameroon saa 4:00 usiku Jumatatu, Januari 5,2026 Misri vs Benin saa 1:00 usiku Nigeria vs Msumbiji, saa 4:00 usiku…

Read More

AFCON Yazua Balaa: Aubameyang Afungiwa, Gabon Yasimamisha Timu, Kocha Aachishwa Kazi

Serikali ya Gabon imesitisha ushiriki wa timu ya taifa ya soka “The Panthers” na kumfungia mshambuliaji nyota Pierre-Emerick Aubameyang, kufuatia kutolewa kwao kwenye Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON). Hatua hizo zilitangazwa na Waziri wa Michezo, Simplice-Desire Mamboula, baada ya Gabon kufungwa 3–2 na Ivory Coast mnamo Desemba 31, huku wakimaliza mkiani katika…

Read More

Likizo Kubadilishwa Kuwa Uzoefu wa Ushindi Na Sweet Holiday Chase

Kipindi hiki cha mapumziko, Meridianbet imeleta kitu kipya kabisa, Sweet Holiday Chase, promosheni inayochanganya burudani, msisimko na bahati katika kifurushi kimoja kama zawadi za msimu huu wa mapumziko. Kwa mfuko wa zawadi unaokadiriwa kufikia TSh 14,500,000,000/- hii si ofa ya kupita tu, ni fursa ya ushindi inayokukaribisha kuifungua kama sanduku la zawadi kila unapozungusha. Tofauti…

Read More