Haya hapa matokeo ya kidato cha nne 2025, Ufaulu Wapanda Hadi 94.98% – Video
Dar es Salaam, Januari 31, 2026 — Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza rasmi matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Nne uliofanyika mwaka 2025 kote nchini. Akizungumza katika ofisi za baraza hilo jijini Dar es Salaam, Katibu Mtendaji wa NECTA, Profesa Said A. Mohamed, amesema kuwa ufaulu wa jumla umeongezeka kwa asilimia 2.61 na…