Brendan Rodgers Ajiuzulu Celtic Scotland
Miamba ya soka ya Scotland, Celtic FC, imethibitisha kuwa Meneja wao Brendan Rodgers amejiuzulu rasmi leo kutoka nafasi yake ya ukocha. Kupitia taarifa rasmi iliyotolewa na klabu hiyo, Celtic imesema imepokea na kukubali barua ya kujiuzulu kutoka kwa Rodgers, ambaye ataondoka katika majukumu yake mara moja. “Brendan anaondoka Celtic tukiwa na shukrani kwa nafasi aliyochukua…