MZIZE ANA BALAA ZITO HUKO KAWAKIMBIZA WAKALI
CLEMENT Mzize, mchezaji bora Desemba amewakimbiza wachezaji wenye rekodi kutokana na kusepa na tuzo hiyo mbele ya mastaa wenye rekodi zao ndani ya NBC. Kwenye mechi nne ambazo alicheza, Mzize alifunga mabao manne na kutoa pasi tatu za mabao akikomba dakika 288 na Yanga ilikuwa nafasi ya tatu ndani ya Ligi Kuu Bara inayodhaminiwa na…