Timu ya Taifa ya Afrika Kusini, Bafana Bafana imefuzu kwenda hatua ya 16 bora ya kombe la Mataifa Afrika AFCON 2025 kufuatia ushindi wa 3-2 dhidi ya Zimbabwe huku Misri ambayo ilishafuzu kwenda hatua hiyo ikitoshana nguvu na Angola kwa sare tasa.
FT: Zimbabwe 🇿🇼 2-3 🇿🇦 Afrika Kusini
⚽ 19’ Maswanhise
⚽ 73’ Modiba (og)
⚽ 07’ Moremi
⚽ 50’ Foster
⚽ 82’ Appollis (P)
FT: Angola 🇦🇴 0-0 🇪🇬 Egypt
MSIMAMO KUNDI B (baada ya mechi tatu)
1. 🇪🇬 Egypt — pointi 7
2. 🇿🇦 South Africa — pointi 6
3. 🇦🇴 Angola — pointi 2
4. 🇿🇼 Zimbabwe — pointi 1