Kiungo huyu Okello kwenye hesabu Yanga SC
INAELEZWA kuwa Yanga SC wamefikia hatua nzuri kuinasa saini ya kiungo mshambuliaji wa timu ya taifa ya Uganda, ambaye bado kijana. Kijana huyo mwenye maiaka 25 alikuwa anatajwa kuwa kwenye rada za Simba SC msimu uliopita ilikuwa ngumu kumpata kutokana na kanadarasi yake kuwa ya mwaka mmoja. Kwa sasa ni miezi sita inatajwa kusalia huku…