AFCON 2025: Gabon 2-3 Msumbiji

JUMAPILI yenye utulivu imeshuhudia moja ya mchezo wenye ushindani mkubwa na dakika 90 zikikamilika kwa mabao 5 kufungwa uwanjani. Gabon 2-3 Msumbiji mchezo wa hatua ya makundi AFCON 2025 nchini Morocco Desemba 28,2025. Ni mchezo wa pili kati ya mitatu kwa kundi F. Magoli ya Gabon yamefungwa na Pierre-Emerick Aubameyang dakika ya 45+5 na Moucketou-Moussounda…

Read More

Chelsea Yapigwa Nyumbani — Aston Villa Yaondoka na Ushindi wa 2–1 Stamford Bridge

Chelsea imejikuta ikipoteza pointi muhimu mbele ya mashabiki wake baada ya kukubali kichapo cha 2–1 dhidi ya Aston Villa katika mchezo wa Ligi Kuu England uliochezwa kwenye dimba la Stamford Bridge. Mchezo ulianza kwa kasi, na timu zote zilijaribu kumiliki mpira na kutengeneza nafasi. Aston Villa walionyesha utulivu mkubwa walipopata nafasi, jambo lililoanza kuzaa matunda…

Read More