KASI ya AFCON 2025 inaendelea na leo Desemba 27 kuna mechi za hatua ya makundi zinachezwa.
Miongoni mwa mchezo ambao unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa ni Uganda vs Tanzania na ikumbukwe kwamba timu hizi zote mbili zilipoteza mechi za ufunguzi.
Hii hapa ratiba ya AFCON 2025
Benin vs Botswana, saa 9:30 alasiri
Senegal vs Congo Dr, saa 12:00 jioni
Uganda vs Tanzania, saa 2:30 usiku
Nigeria vs Tunisia, saa 5:00 usiku.
***
Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo na Moyo Wangu Unavuja Damu. Kuvipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371.
Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM. Kuna kazi mpya inaandaliwa inaitwa Msichana wa Maisha Yangu, jiandae kuipata.