AFCON 2025: Uganda 1-1 Tanzania, Msuva atwaa tuzo
MCHEZO wa pili kati ya mitatu katika hatua ya makundi umekamilika kwa wababe wawili kutoshana nguvu na kugawana pointi mojamoja. Baada ya dakika 90 nchini Morocco leo Desemba 27 2025 ubao umesomaUganda 1-1 Tanzania wakigawana pointi katika kundi C. Tanzania ilianza kupata goli la kuongoza dakika ya 59 kupitia kwa nyota Simon Msuva ambaye alifunga…