FT: Simba SC 2-0 Yanga SC
Desemba 21,2025 kulikuwa na mchezo wa kirafiki wa Kariakoo Dabi Fans uliochezwa Uwanja wa KMC, Complex, Dar. Baada ya dakika 90 ubao umesoma Simba SC Fans 2-0 Yanga SC Fans, magoli yote yakifungwa kipindi cha kwanza. Magoli ya Simba SC yamefungwa na Thobias Sébastien na Dr Mo haya yalidumu mpaka mwisho wa mchezo uliohudhiriwa na…