Sowah na Kante Wafungiwa Michezo 5, Mwamuzi Mwinyimkuu Apewa Adhabu
BODI ya Ligi Kuu ya Tanzania imetangaza adhabu kali kwa wachezaji wa klabu ya Simba SC, Jonathan Sowah na Allasane Kante, pamoja na mwamuzi Abdallah Mwinyimkuu, baada ya tukio la ukiukwaji wa kanuni kwenye mchezo dhidi ya Azam FC. Wachezaji Wafungiwa Jonathan Sowah amefungiwa michezo mitano (5) na kutozwa faini ya Sh. 1,000,000 kwa kosa…