Matokeo ya mechi za Simba SC 2025/26
Matokeo ya mechi zilizopita Simba SC Oktoba Mosi 2025, Simba SC 3-0 Namungo FC, mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Septemba 28 2025, Simba SC 1-1 Gaborone United, Ligi ya Mabingwa Afrika. Septemba 25 2025, Simba SC 3-0 Fountain Gate mchezo wa Ligi Kuu Bara. Septemba 20 2025, Gaborone United 0-1 Simba SC, Ligi ya…