Chico Ushindi Afariki, Soka la Afrika Lapata Pengo
Mshambuliaji wa zamani wa klabu za TP Mazembe, AS Vita Club na Yanga SC, Chico Ushindi Wakubanza, amefariki dunia leo mchana akiwa nyumbani kwao Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC). Chico Wakubanza alikuwa mmoja wa washambuliaji waliopata heshima kubwa katika soka la Afrika ya Kati na Mashariki, akitambulika kwa uwezo wake wa kufumania nyavu, nguvu…