Saleh Jembe Avunja Ukimya Kuhusu Tetesi za DP World na Simba
Mchambuzi mahiri wa soka nchini, Saleh Jembe (@salehjembefacts), ametolea ufafanuzi tetesi zinazozagaa mitandaoni kuhusu kampuni ya DP World kudaiwa kuwa katika mazungumzo ya kuidhamini Klabu ya Simba SC. Amesema kuwa taarifa hizo hazina ukweli wowote, na zimeibuliwa bila ushahidi wa aina yoyote kutoka kwa pande husika. Saleh Jembe ameongeza kuwa hadi sasa hakuna chanzo rasmi…