BetPawa Locker Room Bonus yafikisha sh 91m NBL 2025
Jumla ya Sh91 milioni mpaka sasa zimetumika kuwalipa Wachezaji mbalimbali wa timu za mpira wa kikapu zinazoshiriki klabu bingwa ya Tanzania (NBL) kupitia mpango wa Locker Room Bonus (LRB) kupitia chapa ya michezo ya kubashiri ya betPawa. NBL kwa sasa ipo katika hatua ya nusu fainali ambapo timu nne za wanawake na wanaume zinachuana kusaka…