Nyota wa Wydad Casablanca Atokea Yanga Mazoezini, Akiacha Mashabiki Wakishangaa
Nyota wa zamani wa Yanga SC, Stephane Aziz Ki, amewashangaza wachezaji na benchi la ufundi baada ya kutokea ghafla katika uwanja wa mazoezi wa Yanga, akiwasalimia wenzake siku chache tu baada ya kupona majeraha aliyopata mwishoni mwa wiki katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika. Ziara ya kiungo huyo, ambaye kwa sasa anakipiga kwenye klabu…