Siku hizi za sikukuu, Meridianbet wanafungua pazia la zawadi kupitia Holiday Drops – Christmas Edition, kuanzia 01.12.2025 hadi 08.01.2026. Huu ndiyo msimu ambao kila mchezaji anageuka kuwa mshindi kwa namna ya kipekee, hakuna presha ya mchezo, ni bahati inayonyesha kama mvua.
Kila ukifanya mzunguko kwenye michezo maalum, unakaribishwa kwenye ulimwengu ambao zawadi zinaweza kujitokeza ghafla ukiwa bado unaendelea kucheza. Ndiyo, zile zawadi za papo kwa papo zinazokuja bila kutarajia, unacheza tu, halafu pap, mzigo wa zawadi unakukuta. Weka tu Holiday Drops ON kupitia icon iliyopo upande wa juu kulia na burudani ianze.
Kwenye upande wa michezo, utasafiri kutoka kwenye ulimwengu wa Snowing Gifts 3, mpaka Joker’s Wild Ride – Xmas, Xmas Rooster, Super Elves, Majestic Santa, hadi miujiza ya Zeus’s Lightning Blaze – Xmas. Ni msururu wa gemu za kusherehekea msimu huu, kila moja ikiwa na nafasi ya kukupa dondoko la zawadi wakati wowote hata ukiwa unacheza mizunguko ya bure.
Meridianbet inakuja na michezo ya kasino, mechi zenye odds tamu, na njia rahisi za kujiunga na kucheza. Ukiwa na Meridianbet, kila siku ni nafasi mpya ya kuongeza kipato chako na kufurahia burudani bila mipaka. Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#
Sasa hivi ni muda wako kufungua mlango wa bahati, cheza michezo yoyote iliyopo kwenye kampeni na ufurahie mzuka wa sikukuu kwa mtindo wa kipekee. Holiday Drops zipo tayari kuanguka wakati wowote, hivyo kila mzunguko wako ni kama kufungua sanduku jipya la zawadi za Krismasi.
Usikose msisimko huu. Ingia Meridianbet, na ufurahie Krismasi iliyojaa dondoko la zawadi zisizotarajiwa