Simba Yatangaza Viingilio vya Mechi Dhidi ya Petro Atletico ya Angola
Klabu ya Simba Sc imetangaza viingilio kwa ajili ya mchezo wao wa kwanza hatua ya makundi wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) dhidi ya Petro Atletico ya Angola utakaopigwa Jumapili Novemba 23, 2025 katika dimba la Benjamin Mkapa. Meneja wa Habari wa klabu hiyo, Ahmed Ally amesema Viingilio vya mchezo huo kwa tiketi za mzunguko…