Napoli, Juve, Dortmund, City… Timu Kubwa Zote Zinacheza Leo, Hakuna Kulala! Bashiri Ushinde!

Ni siku nyingine ya wababe wa Ulaya kukutana katika viwanja mbalimbali na kusaka pointi 3 muhimu kabisa. Chelsea, Napoli, Juventus, Dortmund na wengine kibao wapo kuhakikisha hutokei patupu. Unangoja nini sasa?. Ingia na ubashiri na Meridianbet sasa. Tukianza na Manchester City wao watakuwa Etihad kumenyana vikali dhidi ya Bayer Leverkusen ya kule Ujerumani. City ametoka…

Read More

CAF Cofederation Cup ratiba ipo namna hii

CAF Cofederation Cup ratiba bado inaendelea kupasua anga ambapo wawakilishi wa Tanzania kwenye hatua za makundi watakuwa nyumbani katika mechi za raundi ya pili. Singida Black Stars na Azam FC hizi zitakuwa nyumbani kusaka pointi tatu muhimu baada ya mechi zilizopita za ufunguzi kupoteza ugenini. Ijumaa Novemba 28, Azam FC chini ya Kocha Mkuu, Florent…

Read More