Ureno Yaonesha Ubabe, Yaifumua Tanzania 10–0 Futsal Women’s World Cup

Pasig, Ufilipino — Timu ya Taifa ya wanawake ya Tanzania ya mchezo wa Futsal imeanza kwa mtihani mgumu kwenye fainali za Kombe la Dunia (Futsal Women’s World Cup 2025) baada ya kupokea kipigo kikubwa cha 10–0 kutoka kwa mabingwa wa Ulaya, Ureno, mchezo uliochezwa katika Uwanja wa PhilSports Arena jijini Pasig. Tanzania, inayoshiriki michuano hii…

Read More