Stade Malien 2-1 Simba SC CAF Champions League
CAF Champions League matokeo ni Stade Malien 2-1 Simba SC ikiwa ni mchezo wa hatua ya makundi msimu wa 2025/26. Taddeo Nkeng alipachika bao ka kuongoza dakika ya 16 na kamba ya pili ilifungwa na Ismail Simpara dakika ya 23 yakitosha kubakisha pointi tatu mazima kwa wenyeji. Neo Maema alifunga bao pekee la Simba SC…