Kampuni inayoongoza michezo ya kubashiri mtandaoni nchini, Meridianbet, imezindua rasmi mchezo mpya wa kasino unaoitwa Gates of Halloween, ambao umeleta upepo wa mapinduzi katika ulimwengu wa burudani mtandaoni.
Huu si mchezo tu wa ilimradi bali ni mlango wa kuingia katika dunia ya maajabu, mapepo, bahati, na ushindi wa kutisha. Gates of Halloween ni mchanganyiko kamili wa burudani, ubunifu na fursa za kushinda zinazozidi kufikirika, ukiwaleta wachezaji kwenye msisimko halisi wa msimu wa Halloween.
Mchezo huu una muundo rahisi sana wenye kueleweka kwa kila mchezaji. Ukipata alama nane (8) au zaidi kwenye sloti, unapata ushindi papo kwa hapo. Lakini siri halisi ipo kwenye kipengele cha Cascading Tumbles ambapo kila ushindi unaondoa alama za awali na kuleta mpya, hivyo kukupa nafasi ya kushinda tena na tena ndani ya mzunguko mmoja.
Mbali na mchezo huu, pia meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Gates of Halloween inatambulika kwa vizidishi vyake vikubwa vinavyoweza kufikia hadi x1000, vikikupa uwezo wa kuongeza dau lako kwa kiwango kikubwa. Ni mchezo wa kusisimua unaochanganya bahati, ubunifu na malipo makubwa.
Wakati alama ya Scatter inapojitokeza, fahamu umefunguliwa mlango wa neema. Unapata mizunguko ya bure bila kugusa dau lako, huku nafasi zako za ushindi zikiongezeka bila kikomo. Kwa wale wanaopenda kuchukua hatua haraka, kipengele cha Bonus Buy kinawaruhusu kununua mizunguko ya bure kwa bei nafuu na kuendelea na burudani bila kungoja.
Gates of Halloween ipo kwa ajili yako mbashiri, jisajili sasa na meridianbet kupitia tovuti ama application na uanze safari yako ya utajiri na kampuni bora Zaidi kwa michezo ya kubashiri nchini.