Simba SC 0-0 Nsingizini Hotspurs CAF Champions League, uongozi wafunguka
Simba SC imetinga hatua ya makundi kwa kuwaondoa Nsingizini Hotspurs kwenye CAF Champions League huku Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba SC akibainisha kuwa ambacho walikuwa wanahitaji ni kufuzu hatua ya makundi. Oktoba 26,2025 wababe hawa wawili milango ilikuwa migumu katika dakika 90. Hivyo faida ya ushindi wa ugenini imewapa tiketi…