Cheza Super Heli Ondoka Na Simu Mpya Ya Samsung A26

Habari njema kwa mashabiki wa michezo ya kasino mtandaoni. Meridianbet imezindua ofa kabambe kwa wachezaji wake wote kupitia mchezo pendwa wa Super Heli kutoka Expanse Studios, ambapo unaweza kujishindia simu mpya kabisa ya Samsung A26 bila gharama yoyote ya ziada.

Meridianbet inatoa jumla ya simu nane (8) za kisasa aina ya Samsung A26 kwa mwezi huu wa Oktoba pekee. Kila wiki, wachezaji wawili watakaocheza mara kwa mara mchezo wa Super Heli watajishindia zawadi hizi, zitakazotolewa kila Jumatatu ndani ya kipindi cha wiki nne.

Mchezo wa Super Heli ni rahisi, wa kusisimua na unaolipa kwa haraka. Jukumu lako ni kupaisha helikopta yako na kadri inavyopaa juu zaidi, ndivyo odds zako zinavyoongezeka na kipato chako kinavyoongezeka.

Mbali na Super Heli, pia meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Lakini kumbuka siri ya ushindi ni moja tu, toa dau lako mapema kabla helikopta haijalipuka. Ni mchezo wa ujuzi, bahati, na maamuzi ya haraka ukijua wakati sahihi wa kutoa dau lako basi moja kwa moja ushindi ni wako.

Ili kuweza kushiriki mchezo huu, tembelea tovuti ya www.meridianbet.co.tz au pakua Meridianbet App, ingia kwenye akaunti yako au jisajili kama bado hujafanya hivyo kisha anza kucheza Super Heli kwa dau lolote. Kila unapocheza, unajiweka karibu na nafasi ya kushinda Samsung A26 mpya bure kabisa.

Usikose nafasi hii adimu ya kuwa rubani wa ushindi na kujinyakulia simu janja ya kisasa kupitia mchezo unaotikisa wa Super Heli kutoka Meridianbet.