Simba SC kuwafuata wapinzani wao kimataifa Eswatini
WAWAKILISHI wa Tanzania katika anga la kimataifa Simba SC wanatarajiwa kukwea pipa kesho Oktoba 16 kuelekea Eswatini kwa maandalizi ya mwisho ya mchezo wao ujao wa Ligi ya Mabingwa Afrika. Simba SC ina kibarua cha kusaka ushindi raundi ya kwanza ya CAF Champions League dhidi ya Nsingizini Hotspurs kikiwa ugenini. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Oktoba…