
Dodoma Jiji Yapigwa Faini Milioni 15 kwa Kukosa Kocha Mwenye Sifa
Klabu ya Dodoma Jiji FC imepigwa faini ya jumla ya Shilingi milioni 15 za Kitanzania na Bodi ya Ligi Kuu baada ya kushiriki michezo mitatu bila kuwa na kocha mkuu mwenye sifa stahiki. Kwa mujibu wa kanuni za Ligi Kuu Tanzania Bara, kila timu inatakiwa kuwa na kocha mwenye leseni ya kiwango kinachokubalika na Shirikisho…