Huyu hapa atajwa kurithi mikoba ya Fadlu Davids Simba SC

INAELEZWA kuwa Bulgaria Dimitar Pantev mwenye miaka 49 huenda akapewa mikoba ya kukinoa kikosi cha Simba SC ambacho kwa sasa hakina kocha mkuu. Taarifa zinaeleza kuwa muafaka mzuri umefikiwa kwa pande zote mbili ambapo mpango kazi ukikamilika atakuja Tanzania kuchukua nafasi ya Fadlu Davids aliyepata dili Raja Casablanca na tayari ameanza kazi. Inaelezwa kuwa Simba…

Read More

FIFA Yazindua Mpira Mpya “Trionda” kwa Kombe la Dunia 2026

  Shirikisho la soka Duniani, FIFA, limezindua mpira utakaotumika katika Michuano ya Kombe la Dunia 2026 uliopewa jina la Trionda ambapo una teknolojia maalumu. Mpira huo unaitwa ‘Trionda’ -neno la Kihispania linalomaanisha mawimbi matatu ikiwa ni ishara kwamba Kombe la Dunia litaandaliwa na nchi tatu. Mpira huo una rangi tatu, nyekundu, Kijani na Bluu, zikiwakilisha…

Read More