MERIDIANBET WASAIDIA MAMA NTILIE WA MWENGE

Katika dunia ya leo inayohitaji mshikamano wa kijamii na mshikamano wa kiuchumi, kampuni ya Meridianbet imeendelea kudhihirisha dhamira yake ya kweli ya kusaidia jamii kwa vitendo. Kwa mara nyingine tena, Meridianbet imejitokeza kuwa bega kwa bega na wanawake wa Kitanzania kupitia zoezi la ugawaji wa aprons kwa mama ntilie maeneo ya Mwenge.

Meridianbet siku zote wapo mstari wa mbele katika kuchochea uchumi wa mtaa kwa njia ya ujasiriamali, mama ntilie ni kundi muhimu linalojitahidi kila siku kuhakikisha familia nyingi zinapata mlo wa uhakika. Ni wanawake wanaoamka mapema, wanapika kwa bidii, na wanatoa huduma kwa maelfu ya watu kila siku lakini mara nyingi wakisahaulika kwenye ajenda za maendeleo.

Aprons huvaliwa mara nyingi na wapishi ambao wanapenda kuzingatia usafi wakati wa uandaaji wa chakula. Meridianbet walifika Mwenge na kupokelewa vizuri sana kwani kina Mama hao walikuwa na uhitaji mkubwa sana wa Aprons na kwa kuzingatia eneo hilo lina mzunguko wa watu hivyo ilikuwa ni rahisi sana kuwapata wafanyabiashara hao.

Vilevile leo hii michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli  inakupatia mzigo mkubwa hivyo ingia na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz kubashiri mechi zote.

Meridianbet walichagua kwenda kutoa Aprons hizo maeneo ya Mwenge?. Ni kwasababu eneo hilo limezungukwa na wafanyabiashara wengi sana na ni katikati ya mji hivyo Mama Ntilie wanakuwa wengi sehemu hiyo na hivyo uhitaji wa wao kutaka nguo hizo za kupikia unakuwa mkubwa sana.

Hii sio mara ya kwanza Meridianbet kutoa Aprons kwa Mama Ntilie, bali ni mara nyingine kwa sehemu nyingine. Aprons hizo si tu kwamba ni vazi la kazi, bali pia ni alama ya heshima, usafi, na uthubutu wa wanawake wanaochochea uchumi wa chini kila siku kwa kujituma.

Afisa Mahusiano wa Meridianbet Nancy Ingram alisema kuwa, “Aprons hizo zitawasaidia Mama Ntilie kuandaa chakula katika maizngira yaliyosafi kabisa na hasa kuwavutia wateja ambao wanakuja kula chakula kwani wankuwa wanaamini kuwa chakula hicho kimeandaliwa kwenye mazingira safi, hivyo wazitunze”

Kina mama wa eneo hilo baada ya kupokea Aprons hizo waliishukuru sana Meridianbet kwa msaada ambao wametoa na kuahidi kuwa wataandaa chakula kwenye mazingira yaliyo safi, kusema kuwa msaada huo pia unatoa hamasa mpya katika kufanya kazi hiyo.

Pia Meridianbet inakusisitiza uendelee kufanya ubashiri kwneye mechi ambazo zinaendelea ili uweze kupiga mkwanja mzito kuelekea urejeo wa ligi kuu mbalimbali msimu huu wa 2025/26. Jisajili hapa.