HIKI HAPA CHUMA CHA PILI KUTAMBULISHWA SIMBA SC

Baada ya Rushine De Reuck Julai 29 akiwa ni beki na mchezaji wa kwanza kutambulishwa unyamani, Julai 30 nyota mwingine ametambulishwa. Ni Alassane Kante ambaye ni kiungo aliyekuwa anacheza CA Bizertin ya Tunisia atakuwa ndani ya Simba SC msimj wa 2025/26. Kante aliwaaga mashabiki wake Tunisia na video yake ilizua gumzo wakati akiwaaga mashabiki wa…

Read More

UKUTA WA YERIKO WAVUNJIKA, CHE MALONE OUT

CHE Malone ndo basi tena ndani ya kikosi cha Simba SC baada ya kupata changamoto mpya nje ya Tanzania hivyo msimu wa 2025/26 hatakuwa ndani ya kikosi cha Simba SC kinachonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids. Che Malone anatajwa kupata timu nchini Algeria kwa ajili ya changamoto mpya na tayari Simba SC wamempa Thank You…

Read More

KIUNGO YANGA SC KUIBUKIA SINGIDA BLACK STARS

INAELEZWA kuwa nyota wa zamani wa Yanga SC, Clatous Chama anatajwa kuwa kwenye rada za mabosi wa Singida, Singida Black Stars inayotumia Uwanja wa Liti. Chama aliwahi kucheza Simba SC kabla ya kuibukia ndani ya Yanga SC msimu wa 2024/25 akiwa mchezaji huru na hakuwa na nafasi kikosi cha kwanza kutokana na uwepo wa Aziz…

Read More

JEAN AHOUA YUPO NDANI YA SIMBA SC ISHU YAKE BADO

KIUNGO mshambuliaji wa Simba SC, Jean Ahoua bado yupo ndani ya kikosi cha Simba SC kinachonolewa na Kocha Mkuu,Fadlu Davids kuelekea msimu mpya wa 2025/26. Taarifa zinaeleza kuwa kuna timu zaidi ya mbili ambazo zinahitaji saini yake lakini hawajafikia makubaliano mazuri kwa sasa kutokana na mchezaji huyo kuwa na mkataba wa mwaka mmoja. Timu ambazo…

Read More