CHELSEA VS FLUMINENSE: TUMIA GG&3+ KULIPUA AKAUNTI YAKO YA BASHIRI”

Jumanne ya kibingwa imewadia ambapo Dunia inaenda kushuhudia mtanange wa kukata na shoka kati za Fluminense vs Chelsea. Wewe una nafasi ya kuishangaza Meridianbet kwa kubashiri mechi hii na GG&3+ ili upate bonasi.

Leo hii mashabiki wa soka wanatarajia pambano kali la Nusu Fainali kati ya Fluminense ya Brazil na Chelsea ya England. Hii si mechi ya kawaida tu, bali  ni fursa adhimu kwa wewe mpenda michezo na bashiri kujizolea bonasi murua kwa kubashiri matokeo ya GG na Zaidi ya Magoli 3 (3+).

Kama sehemu ya promosheni kutoka Meridianbet wameamua kukuletea bonasi ya kipekee pale utakapoweka dau lako kwa bashiri ya GG & 3+. Hii inamaanisha kuwa mbali na ushindi wa kawaida kutoka kwenye dau lako, utaongezewa zawadi ya bonasi itakayokuongezea mtaji kwa bashiri zako zijazo.

Mkwanja upo kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli hivyo ingia na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz

SHERIA ZA PROMOSHENI HII

  • Promosheni hii ni halali kwa watumiaji wa Meridianbet pekee
  • Promosheni hii itakuwa hai leo hii tarehe 08 mwezi Julai 2025 hadi saa 4:00 usiku ambapo mechi itaanza
  • Pia promosheni hii itakuwa halali kwa watumiaji wote ambao angalau wameweka TZS 500 kwenye akaunti yao ya Meridianbet siku hiyo na wameweka beti ya mkeka wenye mechi zake pamoja na mchezo wa Fluminense vs Chelsea kwa chaguo la GG&3+ ambapo watapata bonasi kama ifuatavyo,

BONASI YA 1

Mchezaji yoyote aliyeweka beti ya mkeka wenye mechi zake pamoja na mechi za Fluminense vs Chelsea  kwa chaguo la GG&3+ atapata bonasi sawa na dau lake (kiwango cha juu 60000 TZS).

Bonasi hiyo itakuwa na masharti kama ifuatavyo, kwenye mechi ya Fluminense vs Chelsea lazima uwe na timu zote zifunge magoli 4+. Hii ndio bonasi ya kwanza ambayo mchezaji ataipata akibashiri mechi hii ya Kombe la Dunia ngazi za vilabu kwa kufuata masharti.

BONASI YA 2

Kama mchezo wa Fluminense vs Chelsea ukimalizika 0-0

  • Mchezaji atapata marejesho ya bonasi ya 50% ya dau lake hadi (20000) ambapo sharti la bonasi hii ni kuwa timu hizo lazima ziwe zimetoka 0-0.
  • Tiketi za TurboCash ni batili kwenye promosheni hii na ofa hii ni halali kwa mtumiaji mmoja. Hivyo fuata masharti yanayotakiwa ili kujiweka kwenye nafasi ya ushindi wa bonasi kwenye mchezo huu mkali wa kusisimua. Bashiri sasa.