OFISA HABARI WA AZAM FC ANALITAKA JIMBO

HASHEEM Ibwe, Ofisa Habari wa Klabu ya Azam FC inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara, ametangaza nia ya kuwania ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi, (CCM) Ibwe amesema: “Salamu kwa Vijana wenzangu. Huu ni wakati wa kusimama imara, kuchukua nafasi na kuwa sehemu ya mabadiliko tunayoyataka kuyaona katika jamii zetu. Maendeleo hayaji kwa kusubiri, yanajengwa…

Read More

MBEBA MIKOBA YA CHAMA KWENYE MTEGO SIMBA SC

KIUNGO wa Simba SC, Deborah Mavambo ambaye ni ingizo jipya katika kikosi hicho kwa msimu uliogota mwisho wa 2024/25 yupo kwenye mtego ndani ya kikosi hicho kutokana na kiwango chake kuporomoka mwanzo mwisho. Nyota huyo kwenye mechi za awali alianza kuonyesha ubora wake lakini kadri siku zilivyokuwa zinazidi uwezo wake ulikuwa unaporomoka. Atakumbukwa kwenye mchezo…

Read More