JEAN AHOUA KWENYE RADA ZA KAIZER CHIEFS

INAELEZWA kuwa Jean Ahoua kiungo mshambuliaji wa Simba SC chaguo la kwanza la Kocha Mkuu Fadlu Davids kwenye mechi za ushindani ndani ya msimu wa 2024/25 yupo kwenye rada za mabosi wa Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini. Ahoua ni anayevaa jezi namba 10 mgongoni ana uwezo kwenye kufunga na kutoa pasi za mabao akiingia kwenye…

Read More

KIUNGO WA MPIRA YANGA SC AREJEA KAZINI

KIUNGO wa mpira ndani ya kikosi cha Yanga SC kinachonolewa na Kocha Mkuu, Miloud Hamdi amerejea kazini kwa ajili ya maandalizi ya mechi za kukamilisha mzunguko wa pili 2024/25. Yanga SC ni vinara wa ligi wakiwa na pointi 73 baada ya mechi 27 ni mechi tatu zimebaki kwa mujibu wa ratiba huku wao wakibainisha kuwa…

Read More