YANGA IMEMPOTEZA MNYAMA NAMNA HII

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara Yanga wamewapoteza watani zao wa jadi Simba kwenye eneo la ushambuliaji kwa kuwa na safu kali ya ushambuliaji ndani ya uwanja kwenye mechi za ushindani msimu wa 2024/25. Baada ya kucheza jumla ya mechi 20 ambazo ni dakika 1,800 safu ya ushambuliaji ya Yanga imetupia mabao 50 ikiwa…

Read More

MAXIMUM PAYOUT NDANI YA MERIDIANBET MAMBO NI MOTO

Meridianbet wanaendelea kuhakikisha mteja wao anafurahia huduma zao kwani kwasasa wamekujia na kitu kinaitwa Maximum payout, Ambapo wamepandisha kiwango cha kulipia tiketi moja na kufikia mpaka kiasi cha shilingi milioni 300. Kwa mfano leo kuna michezo tofauti tofauti itakayopigwa kwenye ligi kama Uingereza, Hispania, Italia, pamoja na ligi kuu ya Ufaransa ambapo unaweza kutumia huduma…

Read More

UEFA EUROPA LEAGUE NI MWENDO WA MAOKOTO TU

Kupitia michezo ya Uefa Europa league ni fursa kwako ya kujishindia maokoto ya kutosha, Kwani leo inakwenda kupigwa michezo mikali yenye hadhi ya kukupa mkwanja ni wewe tu kuweka jamvi lako mapema. Michuano ya Europa League imekua ikitoa mkwanja wa kutosha kila mara na leo ndio ile siku yenyewe ya kuhakikisha unajipigia maokoto ya kutosha,…

Read More

YANGA AKILI ZAO ZIMEHAMIA HUKU SASA

VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara Yanga akili zao kwa sasa ni kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mashujaa unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Lake Tanganyika, mwisho wa reli Kigoma. Yanga inaongoza ligi ikiwa na pointi 52 baada ya kucheza mechi 20 ambazo ni dakika 1,800 kinara wa utupiaji mabao ni Clement Mzize mwenye…

Read More

KADI NYEKUNDU YAWAVURUGA NAMUNGO

KOCHA Mkuu wa Namungo, Juma Mgunda ameweka wazi kuwa kilichowavuruga kwenye mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba uliochezwa Uwanja wa Majaliwa, Februari 19 2025. Ni Derric Mukombozi nyota wa Namungo alionyeshwa kadi nyekundu dakika ya 32 hali iliyopelekea wacheze dakika 58 wakiwa pungufu mbele ya kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu,…

Read More

MSHAMBULIAJI HUYU YANGA KWENYE ANGA ZA WAARABU

MKALI wa kucheka na nyavu ndani ya Ligi Kuu Tanzania Bara ambayo ni ligi namba nne kwa ubora, Clement Mzize anatajwa kuwa kwenye rada za Waarabu wa Moroco ambao wanahitaji saini yake. Ni Wydad Casablanca matajiri hawa wanatajwa kufika kwa mabosi wa Yanga na kuweka ofa yao mezani kwa ajili ya kupata saini ya kijana…

Read More

AZIZI KI AENDELEA NA MAZOEZI KABLA YA SHEREHE YA HARUSI LEO

Kiungo wa klabu ya Yanga, Azizi Ki, ameendelea na mazoezi pamoja na wachezaji wenzake leo, kabla ya kuungana na mke wake, Hamisa Mobeto, kwa sherehe yao ya mapokezi (reception). Sherehe hiyo inatarajiwa kufanyika baadaye leo katika Ukumbi wa Super Dome, Masaki, ambapo ndugu, marafiki, na mastaa mbalimbali wanatarajiwa kuhudhuria kusherehekea siku yao maalum.

Read More

PIGA MKWANJA KUPITIA UEFA CHAMPIONS LEAGUE NA EPL LEO

Ligi ya mabingwa barani ulaya kama kawaida imekua ni michezo ya neema kwa wapenzi wa ubashiri, Kwani watu wamekua wakinyakua mikwanja ya kutosha kupitia michezo hii lakini utapigwa mchezo mmoja mkali wa ligi kuu ya Uingereza leo. Michezo ambayo inakwenda kuchezwa leo ina asilimia kubwa kukuacha milionea kwani michezo ya ligi ya mabingwa barani ulaya…

Read More

SIMBA KWENYE KIBARUA MBELE YA NAMUNGO

CHINI ya Kocha Mkuu, Fadlu Davids kikosi cha Simba leo kinatarajiwa kuwa kwenye kibarua kizito mbele ya Namungo FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Majaliwa. Ni mchezo wa mzunguko wa pili kwa wababe hawa kukutana uwanjani katika msako wa pointi tatu ambapo ule wa kwanza uliochezwa Uwanja wa KMC, Complex…

Read More

SIMBA INA MUDA WA KUPOTEZA NDANI YA 18

WAKATI watani zao wa jadi Yanga wakiwa hawana muda wakupoteza ndani ya 18, mastaa wa Simba huwa wanapata kigugumizi wakiwa ndani ya 18 kwenye kumalizia nafasi ambazo wanazipata kujaza ndani ya nyavu. Rekodi zinaonyesha kuwa timu namba moja kwa kufunga mabao mengi ndani ya 18 ni Yanga ikiwa inaongoza pia Ligi Kuu Tanzania Bara ambayo…

Read More

YANGA YAMALIZANA NA SINGINDA BLACK STARS

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Clement Mzize amechaguliwa kuwa mchezaji bora katika mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Singida Black Stars uliochezwa Uwanja wa KMC, Complex. Ubao umesoma Yanga 2-1 Singida Black Stars kwa mabao ya Mzize dakika ya 14 alifikisha mabao 10 akiwa kinara katika chati ya utupiaji Bongo. Bao la pili ni mali ya…

Read More

HII HAPA RATIBA YA LIGI NAMBA NNE KWA UBORA

VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara ambayo ni namba nne kwa ubora Yanga watakuwa kazini kwenye msako wa pointi tatu dhidi ya Singida Black Stars, Uwanja wa KMC Complex kwenye msako wa pointi tatu. Timu zote mbili zimeweka wazi kwamba hesabu kubwa ni kupata pointi tatu, ukiweka kando mchezo huo kuna mchezo mwingine utakaowakutanisha wababe…

Read More