YANGA YAMALIZANA NA SINGINDA BLACK STARS

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Clement Mzize amechaguliwa kuwa mchezaji bora katika mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Singida Black Stars uliochezwa Uwanja wa KMC, Complex. Ubao umesoma Yanga 2-1 Singida Black Stars kwa mabao ya Mzize dakika ya 14 alifikisha mabao 10 akiwa kinara katika chati ya utupiaji Bongo. Bao la pili ni mali ya…

Read More

HII HAPA RATIBA YA LIGI NAMBA NNE KWA UBORA

VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara ambayo ni namba nne kwa ubora Yanga watakuwa kazini kwenye msako wa pointi tatu dhidi ya Singida Black Stars, Uwanja wa KMC Complex kwenye msako wa pointi tatu. Timu zote mbili zimeweka wazi kwamba hesabu kubwa ni kupata pointi tatu, ukiweka kando mchezo huo kuna mchezo mwingine utakaowakutanisha wababe…

Read More

YANGA YAIPIGIA HESABU SINGIDA BLACK STARS

VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara ambayo ni ligi namba nne kwa ubora Afrika ikiwa inadhaminiwa na NBC, Yanga wameweka wazi kuwa wanahitaji pointi tatu mbele ya Singida Black Stars. Huu ni mchezo wa ligi unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa KMC, Complex jioni saa 10:00 ikiwa ni mzunguko wa pili ndani ya 2024/25. Yanga baada ya…

Read More

KIUNGO WA KAZI AREJEA SIMBA

BAADA ya kukoseka kwenye mechi mbili za Ligi Kuu Bara kiungo mkandaji wa Simba amerejea katika uwanja wa mazoezi ikiwa tayari kwa mechi zijazo ndani ya kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids. Kibu Dennis maarufu kwa jina la Mkandaji alipata maumivu kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Tabora United ambapo baada ya dakika…

Read More