MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024, YAPO HAPA

Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), Dkt. Said Mohamed ametangaza matokeo ya kidato cha nne ya mwaka 2024 na kueleza kuwa ufaulu umepanda.

Dkt. Said ameeleza zaidi kuwa ufaulu umepanda kwa 3% hadi kufikia 92.3% kwa jumla ambapo watahiniwa 477, 262 wamefaulu kidato cha nne kati ya wahitimu 516, 695.

MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 >>>> BONYEZA HAPA