Siku ya leo ndio hiyo imefika ya kuchukua maokoto yako ya maana na mabingwa wa odds kubwa Meridianbet leo kwani mechi kibao za pesa zitakuwa uwanjani hapo baadae kusaka pointi 3.
Manchester United baada ya kupigika kwenye ligi mchezo wao uliopita, na sasa nguvu watawekeza kwenye Europa na hii leo watakuwa Old Trafford kukipiga dhidi ya Glasgow Rangers ambapo timu hizi zimefatana kwenye msimamo wa ligi tofauti yao ikiwa ni pointi 1 tuuh. Mechi ya kirafiki waliyokutana msimu jana United walishinda. Je leo hii nani kushinda?. Beti mechi hii yenye ODDS 1.48 kwa 6.40. Suka jamvi hapa
Mtanange mwingine ni huu wa Bodoe/Glimt dhidi ya Maccabi Tel Aviv FC ya kule Israel. Timu hizi zimetofautiana pointi 4 pekee ambapo mwenyeji yupo nafasi ya 13 na mgeni yeye yupo nafasi ya 28. Je nani kuchukua pointi 3 leo? Bashiri mechi hii ina ODDS 1.58 kwa 5.60.
Alhamisi ya leo Europa League kuendelea na wewe unayo nafasi ya kupiga pesa leo. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.
Pia FC Porto baada ya kushinda mechi yake iliyopita, leo hii atakuwa mwenyeji wa Olympiacos ambao walitoa sare mechi yao iliyopita. Tofauti ya pointi kati yao ni moja pekee huku Meridianbet wakimpa nafasi kubwa ya kushinda mwenyeji kwa ODDS 1.65 kwa 5.60. Bashiri sasa.
Naye Tottenham Hot Spurs baada ya kutoa sare mechi yake iliyopita, leo hii atakuwa ugenini pale Ujerumani kumenyana dhidi ya TSG Hoffenheim ambao wapo nafasi ya 27 wakishinda mechi 1 tuu kati ya 6 ambazo wamecheza. Je nani unamdhamini akupe pesa leo?. Mechi hii ina ODDS 2.75 kwa 2.45. Jisajili hapa.
Mechi nyingine ni hii ya AZ Alkmaar dhidi ya AS Roma ya kule Italia ambapo ni pointi 1 pekee ambayo inawatengeanisha hawa wote. Mwenyeji katoa sare 3 na mgeni akitoa sare mbili. Je leo kati ya Mholanzi na Muitalia nani kuondoka kifua mbele?. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS 3.20 kwa 2.25. Suka jamvi hapa.
Na katika nchi ya Uturuki pale klabu ya Fenerbahce itakuwa mwenyeji wa Olympique Lyon ya kule Ufaransa. Mgeni ana pointi zake 13 na mwenyeji ana pointi 8 hadi sasa huku wakali wa ubashiri Tanzania, Meridianbet wakimpa nafasi kubwa ya ushindi mwenyeji kwa ODDS 2.05 kwa 3.45. Tandika jamvi hapa.
Nao Lazio watakuwa uso kwa uso dhidi ya Real Sociedad ya kule Hispania ambapo mwenyeji kwenye msimamo ndio wpao nafasi ya kwanza, wakati kwa upande wa mgeni yeye 12 wakishinda mechi zao 3 pekee hadi sasa. Mara ya mwisho kukutana timu hizi ilikuwa ni 2011 kwenye mechi za kirafiki ambapo mwenyeji aliibuka na ushindi. Leo mgeni kulipa kisasi?. 2.50 kwa 3.10 ndio ODDS za mechi hii. Jisajili hapa.
Eintracht Frankfurt uso kwa uso dhidi ya Ferencvaros Budapest ambao mpaka sasa wameshinda mechi zao 3 pekee kati ya 6 huku ikiwa ni timu ambayo haipewi nafasi ya kushinda leo hii kwa ODDS 6.00 kwa 1.50. Je Mjerumani kutamba nyumbani?. Tengeneza jamvi hapa.