TIMU ZA USHINDI ZIPO HAPA LEO EPL, SERIE A NA LIGUE 1 KITAWAKA
Je unajua kuwa Meridianbet wanatoa timu za ushindi siku ya leo?. Basi kama bado hujajua unaweza ukaingia kwenye akaunti yako na kuanza kusaka maokoto kupitia timu hizo. Tukianza na ligi kuu ya Italia leo hii SERIE A kutawaka moto ambapo Parma atamenyana dhidi ya Venezia ambapo uhitaji wa alama 3 ni muhimu kwa wote wawili….